Serena Williams akifurahia ushindi wa michuano ya US Open alioupata na kutinga nusu fainali za michuano hiyo katika mpambano wa dada wawili wa familia ya Williams.
Venus Williams akirudisha mpira uliopigwa na mdogo wake Serena Williams
Ushindani ulikuwa ni mkali mno katika mchuano huo kama inavyoonekana hapa.
Hapa ndugu hao wakipongezana baada ya kumalizika kwa mpambano huo
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)




Hakuna maoni :
Chapisha Maoni