.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 8 Septemba 2015

UGIRIKI NA UNHCR WAONGEZA NGUVU YA KUWACHUKUA WAHAMIAJI

Serikali ya Ugiriki na Maafisa wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Wakimbizi wameongeza wafanyakazi zaidi pamoja na meli za kuwachukua wahamiaji 25,000 waliokwama kwenye kisiwa cha Lesbos.

Kituo cha kuorodhesha wahamiaji kimewekwa kwenye uwanja wa mpira uliotelekezwa ili kuwasaidia wahamiaji kwenda Jijini Athens nchini Ugiriki.


Wakati huo huo maelfu ya wahamiaji wamevunja uzio wa polisi katika mpaka wa Hangari na Serbia na kutembea kuelekea Jiji la Budapest.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni