.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 17 Septemba 2015

UN YASHTUSHWA NA KITENDO CHA POLISI WA HANGARI KUWAFYATULIA MABOMU WAHAMIAJI

Umoja wa Mataifa umesema kuwa ameshtushwa baada ya polisi wa Hangari kuwafyatulia mabomu ya machozi na kuwamwagia maji ya kuwasha wahamiaji ili kuwasogeza nyuma katika mpaka wake.

Katibu Mkuu wa Umoja huo Bw. Ban Ki-moon amesema kitendo hicho cha Hangari dhidi ya wahamiaji hakikubaliki kabisa.

Mamia ya wahamiaji walihusika kwenye mapambano hayo katika mpaka wa Hungari na Serbia wakati wakijaribu kuharibu uzio wenye ncha za kukata uliowekwa kuwazuia kuingia nchini Hangari.
                              Gari la maji ya kuwasha likiwarushia maji hayo wahamiaji 

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni