.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 28 Septemba 2015

VYAMA VIKUU VINAVYOUNGA KUPATIKANA KWA UHURU WA MKOA WA CATALONIA VYASHINDA

Vyama vikuu vinavyounga kupatikana kwa uhuru wa mkoa wa Catalonia kutoka Hispania vimeshinda uchaguzi kwa mujibu wa matokeo yaliyotolewa.

Wakati kura zipatazo asilimia 100 zikiwa zinahesabiwa muungano mkuu unaotaka kujitenga na vyama vidogo umeshinda kwa viti 72 katika viti 135 vya bunge la mkoa huo.

Wamesema ushindi huo mkubwa utawapa fursa ya wao kujitangaza kujitenga na Hispania katika kipindi cha miezi 18.

Serikali kuu ya Hispania imeapa kupinga mahakamani hatua yoyote ya mkoa huo kutaka kupatiwa uhuru.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni