.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 16 Septemba 2015

WASTAAFU WA JWTZ WAFANYA USAJILI WA NSSF MKOANI MOROGORO

Kusajiliwa wastaafu wa jeshi.
 Ofisa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),mkoa wa Morogoro, Abdul Mzee ( kushoto) akichukua alama ya vidole kwa Mwanachama wa Muungano wa wanajeshi wastaafu Tanzania (MUWAWATA), Luteni mstaafu, Josephat Mtema, sept 13, mwaka huu ,ili kujiunga na NSSF kwa mfumo wa kuchangia kwa hiari kwa ajili ya kunufaika na huduma za mfuko huo ikiwa na matibabu wakati walipokuwa katika mkutano wa kawaida wa siku mbili uliofanyika Bwalo la Umwema ,mjini Morogoro.
Wastaafu wa jeshi katika picha ya pamoja.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni