Rapa 50 Cent ameshusha thamani ya
jumba lake lililopo Connecticut, Marekani kwa mara nyingine tena
katika jitihada za kutaka kuliuza jumba hilo la kifahari.
Jengo hilo lenye ukuwa wa mita za
mraba 50,000 lipo huko Farmington, linavyumba 21 pamoja na mabafu 25
lsasa imeorodheshwa kuuzwa kwa bei ya dola milioni 8.5.
Rapa huyo ambaye jina lake halisi ni
Curtis Jackson III, awali alitangaza kuliuza jengo hilo kwa dola
milioni 18.5 mwaka 2007, lakini amekuwa akilishusha thamani kila mara
kutokana na kukosa mteja wa kulinunua.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni