.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 19 Oktoba 2015

DK MAGUFULI AZIDI KUCHANJA MBUGA MWANZA KATIKA MAJIMBO YA MAGU, SUMVE, KWIMBA NA MISUNGWI


Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akihutubia katika mkutano wa kampeni mjini Misungwi, Mwanza jana, ambapo aliwaomba wananchi kumpigia kura za ndiyo katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka huu.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG

Dk Magufuli akiingia kwenye gari baada ya kuhutubia akiwa juu ya gari mjini Ngudu, Kwimba leo.

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akihutubia huku akiwa amesimama juu ya gari katika mkutano wa kampeni mjini Ngudu , wilayani Kwimba,, Mwanza, ambapo aliwaomba wananchi kumpigia kura za ndiyo katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, mwaka huu.
Dk Magufuli akiwahutubia wananchi waliouzuia msafara wake eneo la Mabatini, jijini Mwanza asubuhi. 
Msfara wa Dk Magufuli ukiingia eneo la Buzuruga jijini Mwanza ukielekea Wilayani Magu kuendelea na kampeni.

Dk Magufuli akiwaomba wananchi wa Igoma jijini Mwanza asubuhi leo kumpigia kura za ndiyo katika uchaguzi mkuu Oktoba 25 mwaka huu.
Wananchi waliouzuia msafara wa Dk Magufuli wakiwa makini kumsikiliza katika Kijiji cha Kisesa
Mtoto akiwa amebeba kiti alichokichukua nyumbani kwao ili aweze kusimama juu yake aweze kumuona vizuri Dk Magufuli katika Kijiji cha Kisesa
Dk Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge Jimbo la Magu, Kiswaga wakati wa mkutano wa kampeni mjini Magu, Mkoa wa Mwanza.

Dk Magufuli akimvisha kofia bibi aliamua kuhamia CCM kutoka CUF wakati wa mkutano wa kampeni mjini Magu.

Dk Magufuli akijinadi kwa  wanananchi katika Jimbo la Sumve, wilayani Kwimba. 

Dk Magufuli akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Mgombea ubunge Jimbo la Sumve, Richard Ndassa Mganga, katika mkutano wa kampeni mjini Sumve leo.

                                        Wananchi wa Jimbo la Sumve wakimshangilia Dk Magufuli

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni