.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumatatu, 19 Oktoba 2015
MDAU WETU SILLAS MBUYA AFUNGA NDOA NA ANCILLA
Bwana na Bibi harusi wakiingia kanisani kwa ajili ya kufungishwa ndoa katika kanisa la KKKT Sinza jana Jumapili.(Picha na Geofrey Adroph)
Mchungaji akitoa neno kwa wanandoa hao waliofunga pingu za maisha katika kanisa la KKKT Sinza jijini Dar jana Jumapili.
Bwana Harisi Sillah Mbuya akimvalisha pete ya ndoa mke wake Ancilla katika kanisa la KKKT Sinza.
Bibi harusi akimvalisha pete mme wake Sillah Mbuya huku mchungaji akishuhudia tukio hili la kihistoria
Mchungaji akitoa baraka kwa wanandoa hao
Bwana na Bibi harusi wakikumbatiana kwa furaha hakika yaliyoandikwa yametimia
Bwana Harusi Sillah Mbuya akisaini cheti cha ndoa
Bibi harusi Ancilla akisaini cheti cha ndoa
Mchungaji akisaini cheti cha wanandoa Sillah na Ancilla
Sillah akicheza kwa furaha mara maada ya kutoka kanisani
Bibi Harusi na bwana Harusi pamoja na wapambe wao wakiwa wamenyoosha grass zao juu
Hakika ilikuwa ni furaha
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni