Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (katikati) akiangalia baadhi ya picha mbalimbali wakati alipotembelea banda la Mwalimu Nyerere Foundation 12 Oktoba, 2015 katika Maonyesho ya Wiki ya Vijana na Kilelecha Mbio za Mwenge mjini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (kushoto) akiangalia moja ya vitabu wakati alipotembelea banda la Mwalimu Nyerere Foundation 12 Oktoba, 2015 katika Maonyesho ya Wiki ya Vijana na Kilelecha Mbio za Mwenge mjini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga akiangalia mikanda ya DVD zinazomuhusu Mwalimu Nyerere wakati alipotembelea banda la Mwalimu Nyerere Foundation 12 Oktoba, 2015 katika Maonyesho ya Wiki ya Vijana na Kilelecha Mbio za Mwenge mjini Dodoma.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (kulia) akiangalia vitabu wakati alipotembelea banda la Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo 12 Oktoba, 2015 katika Maonyesho ya Wiki ya Vijana na Kilelecha Mbio za Mwenge mjini Dodoma. Kushoto ni Maafisa Vijana wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (kulia) akiangalia baadhi ya kazi za sanaa za ufundi wakati alipotembelea banda la Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo 12 Oktoba, 2015 katika Maonyesho ya Wiki ya Vijana na Kilelecha Mbio za Mwenge mjini Dodoma. Kushoto ni Afisa Utamaduni wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bwana Mussa Nyoni.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (kulia) akiangalia baadhi ya kazi zinazofanywa na Bodi ya Filamu na Michezo ya Kuigiza, wakati alipotembelea banda la Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo 12 Oktoba, 2015 katika Maonyesho ya Wiki ya Vijana na Kilelecha Mbio za Mwenge mjini Dodoma. Kushoto ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu na Michezo ya Kuigiza, Bi. Joyce Fissoo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (mwenye batiki nyekundu) akipewa maelekezo ya namna ya kutumia Kamera ya kisasa ya kutengenezea filamu wakati alipotembelea banda la Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo 12 Oktoba, 2015 katika Maonyesho ya Wiki ya Vijana na Kilelecha Mbio za Mwenge mjini Dodoma.
PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni