.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 20 Oktoba 2015

KONGAMANO LA KUJADILI MWENENDO WA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU 2015

Baloz Ali Karume akizungumzia Muungano wa Tanzania na Mamlaka kamili ya Zanzibar kwenye Kongamano la kujadili mwenendo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015 na umuhimu wake katika kujenga Zanzibar, Kongamano lililofanyika katika Ukumbi wa Grand Palace Mjini Zanzibar.
Balozi Amina Salum Ali akizungumzia umuhimu wa Ilani ya Uchaguzi Mkuu ya 2015 ya CCM katika Kongamano la kujadili mwenendo wa kampeni za Uchaguzi na umuhimu wake katika kujenga Zanzibar lililofanyika Ukumbi wa Grand Palace Mjini Zanzibar.
Mshiriki wa Kongamano hilo Rashid Kheri akitoa mchango kuhusiana na Muungano wa Tanzania na Mamlaka ya Zanzibar kwenye Kongamano lililo fanyika Grand Palace Mjini Zanzibar.
Mwanaharakati kutoka Jumuiya ya Mikunguni Youth Development Organisation (MYDO) Zahra Yahya Rashid akitoa mchango wa umuhimu wa kuwa na Ilani katika Uchaguzi kwenye Kongamano hilo.
Mwenyekiti wa Kongamano Mahmoud Thabit Kombo akifafanua masuala mbali mbali yaliyomo kwenye Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2015 kwenye Kongamano la kujadili mwenendo wa kampeni za Uchaguzi 2015 na umuhimu wake katika kujenga Zanzibar katika Ukumbi wa Grand Palace Mjini Zanzibar
Wanachi mbalimbali wakisikiliza kwa umakini kongamano hilo.

                                                   PICHA NA ABDALLA OMAR-MAELEZO ZANZIBAR.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni