Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akisikiliza kwa makini Houba ya Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe (hayupo pichani), aliyokuwa akiitoa kwa wananchi wa Mji wa Karatu, Mkoani Manyara leo.
Mwanasiasa Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngomale Mwiru, akisisitiza jambo katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mbowe, Mjini Karatu, Mkoani Manyara leo Oktoba 9, 2015.
Waziri Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mbowe, Mjini Karatu, Mkoani Manyara leo Oktoba 9, 2015.
Meza Kuu.Jumamosi, 10 Oktoba 2015
LOWASSA AFUNIKA NYUMBANI KWA DK. SLAA
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni