Mamia ya wa Korea Kusini wanasafiri
kuelekea Korea Kaskazini kwa tukio adimu la kuungwanishwa na familia
zao ambazo walitengeanishwa nazo na vita ya Korea.
Tukio hilo la familia kuungana
linafuatia mikutano kadhaa kwa wiki nzima, litafanyika kwenye hoteli
ya Mlima Kumgang karibu na mpaka wa mataifa hayo jirani mahasimu.
Maelfu ya familia zimetenganishwa na
ndugu zao tangu mwaka 1988, kutokana na tofauti za kiuhusiano baina
ya mataifa hayo mawili.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni