Mlipuko wa bomu katika basi katika
mji wa Quetta nchini Pakistani umeuwa watu 11 na kujeruhi wengine 22,
polisi wa nchi hiyo wamesema.
Afisa mwandamizi wa polisi katika
mji huo wa magharibi, ameviambia vyombo vya habari kuwa kifaa cha
mlipuko kiliwekwa juu ya paa la gari.
Tukio hilo la mlipuko limetokea
wakati huu ambao ghasia zikitoweka nchini Pakistani. Hakuna kundi
lililojitokeza kusema linahusika na shambulio hilo hadi sasa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni