.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 20 Oktoba 2015

MH AMOS MAKALLA AKUTANA NA MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA VUNJO, MH AUGUSTINO MREMA


Siasa siyo uadui, Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Mh Amos Makalla ( katikati ) akiwa amesimama na kusalimiana na Dr Augustino Mrema aliyekuwepo maeneo ya Himo zilipo ofisi za TLP. Mkuu wa mkoa alikuwa akitokea ziarani Mwanga

 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Mh Amos Makalla ( katikati ) akijadiliana jambo na Mh Maghembe ( kushoto )  alipokuwa ziarani wilayani Mwanga.
 Wananchi wilayani Mwanga wakimsikiliza mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, ( hayupo pichani ) Mh Amos Makalla.

 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Mh Amos Makalla akisalimiana na viongozi mbalimbali wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa huo.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni