Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipowasili katika uwanja wa Gombani yakale katika ufungaji wa kampeni za CCM Kisiwani Pemba jana,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan wakati alipowasili katika uwanja wa Gombani yakale jana katika ufungaji wa kampeni za CCM Kisiwani Pemba,(kulia) Mke wa Makamo wa Pili wa Rais Mama Asha Suleiman Iddi,[Picha na Ikulu.]
Mgombea mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maelfu ya wanachama cha Mapinduzi CCM na wananchi wa Kisiwani Pemba wakati alipokuwa akiomba kura pamoja na kuwaombea wagombea wengine wa CCM akiwemo Mgombea Urais wa jamhuri ya Muungano Dkt.John Pombe Magufuli katika mkutano wa kufunga kampeni za Chama hicho uliofanyika leo katika uwanja wa Gombani yakale,[Picha na Ikulu.]
Maelfu ya Wananchi na WanaCCM wakisikiliza Maelezo yaliyotolewa na Wagombea nafasi za Uongozi wa Chama cha Mapinduzi katika Mkutano wa ufungaji wa kampeni za CCM Kisiwani Pemba,katika uwanja wa Gombani ya kale jana,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan wakati mkutano wa ufungaji wa kampeni za CCM Kisiwani Pemba katika uwanja wa Gombani yakale jana,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwahutubia maelfu ya wanachama cha Mapinduzi CCM na wananchi wa Kisiwani Pemba katika mkutano wa kufunga kampeni za Chama hicho katika uwanja wa Gombani yakale leo pamoja na kuwaomba kura wananchi pia na kuwaombea Kura wagombea wa Chama hicho,[Picha na Ikulu.]
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni