.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 23 Oktoba 2015

WAZIRI MKUU, MH MIZENGO PINDA AKUTANA NA RAIS MSTAAFU WA POLAND

01
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao kati ya ujumbe wa Tanzania na ujumbe wa Polanda aulioongozwa na Rais Mstaafu wa nchi hiyo Lech Walesa (kushoto) katika hafla ya utiaji saini makubaliaono ya mkopo nafuu ambapo Tanzania itapokea matrekta kutoka Poland yatakayounganishwa na SUMA JKT hapa nchini. Utiaji saini huo ulifanyika kwenye Makao Makuu ya JKT Mlalakuwa jijini Dar es slaam Oktoba 22, 2015.
03
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Rais Mstaafu wa Poland, Lech Walesa (kulia) baada ya kushuhudia utiaji saini wa makubaliano ya mkopo nafuu wa matrekta na magahala ya nafaka kutoka Poland kwenye mako Makuu ya JKT, Mlalakuwa jijini Dar es slaam Oktoba 22, 2015.
02
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Rais mstaafu wa Poland, Lech Walesa (kulia kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Tanzania na Poland ulioshiriki katika mazungumzo na utiaji saini makubaliano ya mkopo nafuu ambapo Tanzania itapokea matreta na maghala kutoka poland . Utiaji saini huo ulifanyika kwenye makao makuu ya JKT, Mlalakuwa jijini Dar es slaam Oktoba 22, 2015.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni