Taarifa zilizothibitishwa na Afisa Habari wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ) Tumaini Makene zimesema kwamba, Dk. Makaidi amefariki dunia baada ya kusumbuliwa na presha.
Dk Makaidi pia alikuwa anawania ubunge wa jimbo la Masasi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu kupitia mwavuli wa Ukawa.
Taarifa zaidi kuwajia baadaye.
Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi, Amina


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni