Imebainika kuwa Kiongozi Mkuu wa
Kanisa Katoliki Dunia, Papa Francis hatohutubia bunge la Kenya katika
ziara yake atakayoifanya Jijini Nairobi mwezi Novemba.
Kwa mujibu wa Vatican, Maaskofu wa
Kenya na Ikulu wanaohusika na ziara hiyo ya Papa, wamesema badala
yake wabunge watahudhuria ibada ya Papa Francis atakayoifanya Chuo
Kikuu cha Nairobi.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni