.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 9 Oktoba 2015

CHILE YAIFUNGA BRAZILI KWA MARA YA KWANZA TANGU MIAKA 15 KUPITA

Timu ya taifa ya Chile imepata ushindi wake wa kwanza dhidi ya Brazil baada ya miaka 15 kupita mabao yaliyofungwa na Eduardo Vargas pamoja na Alexis Sanchez.

Katika mchezo huo Chile imefanikiwa kuifunga Brazil mabao 2-0 katika mchezo wa awali wa kuwania kufuzu kutinga fainalia za kombe la dunia.

Baada ya kipindi cha kwaza kuisha bila kuona nyavu zikitingishwa Eduardo Vargas aliipatia Chile bao kwanza kwa mkwaju wa adhabu katika dakika ya 72 na kisha baadae Sanchez kupachika bao la pili.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni