Mwanamuziki muingereza Phil Collins
anatarajia kurejea katika muziki baada ya kustaafu kwa muda na tayari
amepanga kuanza kufanya ziara ya muziki.
Katika mahojiano na jarida la
Rolling Stone, Collins amesema ni rasmi sasa ameachana na kipindi cha
kustaafu muziki.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 64,
mwaka 2011 alisema anaachana na muziki ili aweze kuwalea watoto wake
wawili wa kiume.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni