.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 12 Oktoba 2015

RAIS KIKWETE AZINDUA KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTE MTWARA

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Halima Denengo na mmiliki wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote (nyuma yao) wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote na ujumbe wake kutoka Nigeria wakipata picha ya kumbukumbu wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote na familia yake na ujumbe wake kutoka Nigeria wakipata picha ya kumbukumbu wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
 Sehemu ya wafanyakazi wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote wakikata utepe kuashiria kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Alhaj Aliko Dangote wakifunua pazia kuashiria kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa uzalishaji Bi. Mbumi Mwampeta (23) kuhusu uzalishaji wa satuji kwa njia za kisasa baada ya kuzindua rasmi kiwanda cha saruji cha Dangote ambacho ni kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015. PICHA NA IKULU

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni