.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 9 Oktoba 2015

SIGARA KUUWA ROBO YA WANAUME WOTE WALIO CHINI YA UMRI WA MIAKA 20 NCHINI CHINA

Utafiti mpya umeonya kuwa robo ya wanaume wote walio chini ya umri wa miaka 20 nchini China, watakufa kabla ya kufikia umri mkubwa iwapo hawatoachana na tabia ya uvutaji wa sigara.

Utafiti uliochapishwa katika jarida la madaktari la The Lancet, umesema robo mbili ya wanaume nchini China huanza kuvuta sigara wakiwa na umri wa miaka 20.

Kwa mujibu wa wanasayansi waliofanya utafiti huo nusu ya wanaume hao watakufa kutokana na tabia ya kuvuta sigara.


Hakuna maoni :

Chapisha Maoni