.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Alhamisi, 15 Oktoba 2015
UJENZI WA BARABARA YA JUU (FLY OVER) TAZARA DAR KUANZA;DK MAGUFULI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA
Ramani ya Barabara ya Juu (Fly Over) itakavyokuwa baada ya ujenzi unaoanza mwezi ujao kukamilika Oktoba 2018. Mkataba wa ujenzi wa barabara hiyo utakaogharimu sh. bilioni 100 umesainiwa leo chini ya ushahidi wa Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli.
Waziri wa Ujenzi, ambaye pia ni Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli (aliyesimama katikati) akishuhudia utiaji wa saikni mkataba wa ujenzi wa barabara ya juu (Fly Over) katika makutano ya barabara za Mandela na Nyerere Tazara, Dar es Salaam leo. Wanaotia saini ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya Sumitomo Mitsui itakayojenga barabara hiyo, Ichiro Aoki 9kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara wa Serikali,Patrick Mfugale. Ujenzi huo unaotarajia kuanza hivi karibuni na kugharimu zaidi ya Bilioni 100 utakamilika Oktoba 2018. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni