.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 16 Oktoba 2015

UMOJA WA ULAYA ZIMERIDHIA MPANGO WA UTEKELEZAJI KWA UTURUKI KUHUSU WAHAMIAJI

Nchi za wanachama wa Umoja wa Ulaya zimeridhia mpango wa utekelezaji kwa Uturuki, ambao unatarajiwa kusadia kupunguza wimbi la wahamiaji wanaoingia Ulaya.

Karibu wahamiaji laki 6 wameingia katika nchi za Umoja wa Ulaya mwaka huu, wengi wao wakitokea Uturuki na kuingia Ugiriki wakijaribu kwenda kaskazini.

Uturuki imetoa masharti ya mambo inayohitaji ili iweze kusaidia kudhibiti kuingia kwa wakimbizi nchi za Umoja wa Ulaya.

Akiongea na vyombo vya habari Jijini Brussels, rais wa Baraza la Ulaya, Bw. Donald Tusk, amesema anahisi matumaini kutokana na makubaliano hayo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni