Jumanne, 13 Oktoba 2015
VIJANA KUTOKA MIKOA MBALIMBALI WASHIRIKI MDAHALO KATIKA MAADHIMISHO YA WIKI YA VIJANA MJINI DODOMA
Mwakilishi kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) akiwasilisha mada kuhusu vijana na mitandao ya kijamii katika mdahalo wa Vijana (hawapo pichani) uliofanyika mjini Dodoma jana ikiwa ni programu katika kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana sehemu ya Uratibu, Bibi. Esther Riwa akiwasilisha mada ya ujasiriamali wakati wa mdahalo wa Vijana (hawapo pichani) uliofanyika mjini Dodoma jana ikiwa ni program katika kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.
Mwakilishi kutoka Shirika lisilo la Kiserikali la Restless Development Bw. Innocent Mallya akichangia mada wakati wa mdahalo wa Vijana (hawapo pichani) uliofanyika mjini Dodoma jana ikiwa ni program katika kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.
Meneja Mafunzo kutoka Shirika lisilo la Kiserikali la TECC Bi. Anna Manoti akiwasilisha mada wakati wa mdahalo wa Vijana (hawapo pichani) uliofanyika mjini Dodoma jana ikiwa ni program katika kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.
Mwakilishi kutoka Shirika lisilo la Kiserikali la Vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Tanzania (EAC Youth TZ) Bi. Mary Daniel akichangia mada wakati wa mdahalo wa Vijana (hawapo pichani) uliofanyika mjini Dodoma jana ikiwa ni program katika kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana sehemu ya Mafunzo na Makuzi, Bibi. Venerose Mtenga akiwasilisha mada katika mdahalo wa vijana uliofanyika mjini Dodoma jana ikiwa ni programu katika kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.
Afisa Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Eliakim Mtawa akiwasilisha mada kuhusu Mfuko wa Maendeleo ya Vijana wakati wa mdahalo wa Vijana (hawapo pichani) uliofanyika mjini Dodoma jana ikiwa ni program katika kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.
Baadhi ya vijana wakifuatilia mada zilizowasilishwa wakati wa mdahalo wa Vijana (hawapo pichani) uliofanyika jana mjini Dodoma ikiwa ni programu katika kuadhimisha Wiki ya Vijana kitaifa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni