Mwanamitindo Chrissy Teigen
amefichua habari za furaha yake kupitia mitandoa ya jamii kwa
kutangaza hatimae yeye na mwanamuziki John Legend wanatarajia kupata
mtoto wao wa kwanza.
Habari hizo njema zimekuja ikiwa
wiki kadhaa kupita tangu Teigen, kueleza masikitiko yake ya kuwa na
tatizo la kutoshika ujauzito, lakini sasa maombi yake yamejibu.
Mwanamitindo huyo anayepamba jarida
la Sports Illustrated, ametuma picha ya rangi nyeusi akiwa na mumewe
katika Instagram kueleza kutarajia kupata mtoto wao wa kwanza.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni