.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Jumapili, 25 Oktoba 2015
WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUPIGA MAENEO MBALIMBALI YA KATA YA KIJITONYAMA JIJINI DAR
Wasimamizi wa uchaguzi wakiendelea kuwahudumia wananchi waliofika katika kituo cha Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kijitonyama leo jijini Dar kwa ajili ya kupiga kura.Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja Blog
Mmoja wa wazee akisaidiwa na mtu wake wa karibu ili kupiga kura katika kituo cha Chuo cha Ustawi wa Jamii jijini Dar leo.
Mlemavu akisaidiwa na mtu wa karibu alipofika katika kituo cha Kenton kwa ajili ya kupiga kura
Mmoja wa wananchi akiwa kwenye sehemu ya kupigia kura katika kituo cha kupigia kura kwenye Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kijitonyama leo jijini Dar.
Wananchi wakihakiki majina yao katika kituo cha Shule ya Sinza Mapambano jijini Dar leo.
Wananchi wakibadishana mawazo walipokuwa kwenye foleni wakisubiri kupiga kura katika kituo cha Shule ya Sinza Mapambano jijini Dar leo.
Wananchi wakihakiki majina yao katika kituo cha Shule Kenton Mwenge jijini Dar leo.
Wananchi wakisubiri kupiga kura katika kituo cha cha Shule ya Sinza Mapambano jijini Dar leo.
Wananchi wakiwa wamejipanga foleni kwa ajili ya kupiga kura katika kituo cha Shule ya Sinza Mapambano jijini Dar leo.
Wananchi wakisubiri kupiga kura katika kituo cha Shule Kenton Mwenge jijini Dar leo
Wananchi wakisubiri kupiga kura katika kituo cha Chuo cha Ustawi wa Jamii jijini Dar leo
Umati mkubwa ukiwa kwenye foleni katika katika kituo cha kupigia kura kwenye Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kijitonyama leo jijini Dar.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni