Jumapili, 25 Oktoba 2015
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA APIGA KURA KIJIJINI KWAKE KIBAONI
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipiga kura kumchagua Rais, Mbunge na Diwani katika kituo cha kupiga kura kilichopo kwenye Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Kibaoni wilayani Mlele Oktoba 25, 2015.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akiwa amembeba mototo aliyezaliwa usiku wa kuamkia tarehe 25,-10-2015 na kupewa jina la Magufuli katika kituo cha Afya cha Kibaoni wilayani Mlele Oktoba 25, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni