Muhudumu wa afya ya baba mama na mtoto wa kituo cha alafa kilichopo tandika Dar es salaam Bi, Latifa Masasi wa pili akimpima afya mtoto Lovenes Masawe kulia ni nesi Mary Hongoli |
watoto waliojitokezwa kuletwa kwa ajili ya kupima afya na wazazi wao wakiwa katika foleni ambapo jumla ya watoto waliojitokeza ni 230 ambao waliudumiwa na kupewa ushauli wa bule |
watoto wakiwa katika folerni ya kupimwa afya |
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni