.
.
.
.
.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga
|
TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.
mbani
NYUMBANI
HABARI
SIASA
MICHEZO
BURUDANI
TABASAMU
KIMATAIFA
Ijumaa, 6 Novemba 2015
BALOZI MULAMULA AKUTANA NA BALOZI WA UBELGIJI NCHINI TANZANIA, MHE. PAUL CARTIER NA NAIBU KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA MADOLA, MHE. OJIAMBO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula (kulia) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Ubelgiji nchini Tanzania, Mhe. Paul A. Cartier. Viongozi walijadiliana namna ya kuboresha mahusiano kati ya Tanzania na Ubekgiji katika sekta za Kiuchumia, Biashara na Kijamii
Balozi Mulmula akizungumza huku Balozi Cartier (wa kwanza kushoto) akimsikiliza. Mwingine katika picha ni Afisa Mambo ya Nje, Bi. Felista Rugambwa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na UShirikiano wa Kiamataifa, Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe. Dkt. Josephine Ojiambo (kushoto) aliyeiwakilisha Jumuiya hiyo kwenye sherehe za uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli hapo jana.
Balozi Mulamula akizungumza na Dkt. Ojiambo alipotembelea Wizarani leo
Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na Dkt. Ojiambo
Picha ya pamoja
Picha na Reginald Philip
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni ( Atom )
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni