MC wa hafla ya ugawaji tuzo, ambaye pia ni Mhariri wa Gazeti la Championi Jumamosi, Elius Kambili akitoa neno la utangulizi wakati wa shughuli hiyo.
Mwenyekiti wa shughuli hiyo ambaye pia ni Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally akifungua rasmi hafla fupi ya utoaji tuzo kwa waandishi na wahariri wa Championi.
Mhariri wa Gazeti la Uwazi Mizengwe, Hashim Aziz (kushoto) akikabidhi tuzo ya Msanifu Kurasa Bora wa Championi kwa Shafih Hashim.
Mhariri wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli akikabidhi tuzo ya Mpiga Picha Bora wa Championi kwa Richard Bukos.

Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kushoto) akikabidhi tuzo ya Mhariri Bora kwa John Joseph.
Mhariri wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli (kushoto) akikabidhi Tuzo Maalum ya Sapoti Bora ya Mzazi kwa Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo.





Hakuna maoni :
Chapisha Maoni