.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 22 Novemba 2015

HOFU YA BOMU YASABABISHA NDEGE YA UTURUKI KUTUA CANADA

Ndege ya Shirika la Ndege la Uturuki iliyokuwa ikitokea New York imelazimishwa kwenda Canada baada ya tishio la bomu.

Maafisa wamesema ndege hiyo iliyokuwa na abiria 256 ilitua salama katika uwanja wa Kimataifa wa Halifax mashariki mwa Canada.

Polisi nchini Canada wanaendelea na uchunguzi, hata hivyo hawakuelezea lolote juu ya tishio hilo la bomu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni