Kocha wa Manchester United, Louis
van Gaal amethibitisha kuwa anataka kumrejesha Cristiano Ronaldo
katika dimba la Old Trafford.
Mshambuliaji huyo Mreno, aliaondoka
Manchester United kwenda Real Madrid mwaka 2009, kwa uhamisho wa
paundi 80 na kuwa miongoni mwa wafungaji bora wa Ligi yaHispania.
Hata hivyo kumeibuka uvumi mfululizo
kuwa Ronaldo ambaye sasa anaumri wa miaka 30 anajiapanga kuondoka
Real Madrid.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni