Kocha Jose Mourinho anaamini kuwa
atapatiwa muda zaidi wa kubadili mambo ndani ya Chelsea, baada ya
kupata kipigo cha sita katika Ligi Kuu ya Uingereza hapo jana kwa
kufungwa na Liverpool.
Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu ya
Uingereza ambao wametolewa nje ya Kombe la Ligi, sasa wanashika
nafasi ya 15 ya msimamo wa Ligi Kuu ya Uingereza baada ya kufungwa
nyumbani 3-1 na Chelsea.
Ualipoulizwa iwapo huo ndio utakuwa
mchezo wake wa mwisho akiinoa Chelsea, Mourinho alisema hapana
hafikirii hivyo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni