.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 13 Novemba 2015

KONGAMANO LA KUPINGA UNYANYASAJI LAFANYIKA KISIWANI PEMBA

WADAU wa kupambana na vitendo vya Udhalilishaji wa kijinsi kisiwani Pemba, wakimsikiliza mkuu wa kitengo cha Wanawake na Watoto Pemba, Dina Juma Mkota wakati akitoa takuwimu za udhalilishaji kwa kipindi cha Disemba 2014 hadi Augost 2015, katika ukumbi wa Idara ya Ustawi wa Jamii Gombani.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Kitengo cha Wanawake na Watoto Pemba, Kutoka Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto Pemba Dina Juma Mkota, akifungua kongamano la siku moja lililowashirikisha wadau wanaopambana na vitendo vya udhalilishaji kisiwani Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MKUU wa Kitengo cha Wanawake na Watoto Pemba, Kutoka Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto Pemba Dina Juma Mkota, akitoa ufafanuzi mara baada ya wadau wa kupambana na vitendo vya Udhalilishaji kuwasilisha kazi za Vikundi, katika kongamano la kupiga vita vitendo hivyo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
Mkuu wa kitengo cha Wanawake, kutoka Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa jamii, Vijana, wanawake na watoto Pemba, Dina Juma wakati alipokuwa akiifungua kongamano la siku moja kwa wadau wanaopambana na vitendo vya Udhalilishaji, huko katika Ukumbi wa Idara ya Ustawi wa Jamii Gombani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni