Alhamisi, 19 Novemba 2015
MAHAFALI YA 45 YA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Brass Band ikiongoza msafara wa maandamano ya Mahafali ya 45 ya chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Maprofesa na Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakiwa katika Maandamano ya Mahafali ya 45 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wakwanza kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Museru.
Wananchi wakipata matukio wakati msafara wa Maandamano ya wahitimu walipokuwa wakipita mbele yao. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni