Wanasayansi wamebaini kuwa
maambukizi ya minyoo kwa wanawake yanachangia uwezo wa kutunga mimba
kwa wanawake.
Utafiti uliofanywa kwa jamii ya
kijijini ya wanawake wa Bolivia umebaini maambukizi ya minyoo aina ya
Ascaris lumbricoides, husaidia mwanamke kupata watoto wawili zaidi.
Watafiti walioandika utafiti wao huo
kwenye jarida la Sayansi, wameafiki kuwa minyoo huzuia mfumo wa kinga
na kufanya kuwa rahisi kwa mwanamke kupata ujauzito.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni