.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 8 Novemba 2015

MKURUGENZI WA KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU, DR. HELEN KIJO BISIMBA APATA AJALI YA GARI

Taarifa zilizoifikia Rweyunga Blog zinasema Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC), Dr. Helen Kijo Bisimba amepata ajali ya gari leo asubuhi katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini Dar es salaam. 

Gari hilo lilikuwa likiendeshwa na dereva wake ambaye naye inasemekana amejeruhiwa. Hivi sasa Mkurugenzi huyo wa LHRC anapatiwa matibabu katika hospitali ya Agha Khan jijini Dar es Salaa.Taarifa zaidi kuwajia
                                                          Muonekano wa gari lake baada ya kupata ajali

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni