Kocha wa Chelsea Jose Mourinho
ataweza kuwasiliana kwa simu na benchi la ufundi siku ya jumamosi
licha ya kupigwa marufuku kuwepo uwanjani.
Mourinho ataangalia mechi dhidi ya
Stoke katika hoteli ya jlabu baada ya kuagizwa kutokanyaga uwanjani
ikiwa ni adhabu iliyotolewa na FA.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni