Uchunguzi wa Kiintelejinsia unadhani
kuwa ndege ya Urusi iliyoanguka Misri na kuuwa watu 224 waliokuwamo
iliangushwa kwa bomu, Marekani na Uingereza zimesema.
Hata hivyo Marekani na Uingereza
zimesema hawajafikia hitimisho la kuwa na uhakika wa asilimia 100
kuwa ndege hiyo iliangushwa kwa bomu.
Uingereza mapema ilisitisha safari
za ndege zake kwenda na kurejea kutoka eneo la Sharm el-Sheikh nchini
Misri, sehemu ambako ndege zilikuwa zikiondokea.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni