.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 22 Novemba 2015

NSSF YAENDESHA KONGAMANO LA WAAJIRI WA TAASISI MBALIMBALI IKIWEMO ZA KISERIKALI NA ZISIZOKUWA ZA KISERIKALI MKOANI TANGA


Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifala Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akizungumza wakati akifungua kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za Kiserikali na zisizokuwa za kiserikali zilizokuwa na makao makuu yake mkoani Dar es Salaam lililofanyika jana mkoani Tanga kwenye hotel ya Tanga Beach,Picha na Mwandishi Wetu.
 

Meneja Matekelezo na Kumbukumbu wa NSSF MakaoMakuu,Maryam Muhaji akizungumza kwenye kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za Kiserikali na zisizokuwa za kiserikali zilizokuwa na makao makuu yake mkoani Dar es Salaam lililofanyika mkoani Tanga kwenye hotel ya Tanga Beach,Picha na Mwandishi Wetu.
 

Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa laHifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za Kiserikali na zisizokuwa za kiserikali zilizokuwa na makao makuu yake mkoani Dar es Salaam lililofanyika mkoani Tanga kwenye hotel ya Tanga Beach,Picha na Mwandishi Wetu.

Baadhi ya Washiriki wakiwa kwenye kongamano lawaajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za Kiserikali na zisizokuwa za kiserikali zilizokuwa na makao makuu yake mkoani Dar es Salaam lililofanyika mkoani Tanga kwenye hotel ya Tanga Beach wakimsikiliza Mgeni Rasmi Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori,Picha na Mwandishi Wetu.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni