Rais wa Misri Abdul Fatah al-Sisi
ameelezea madai kuwa wapiganaji wenye uhusiano na Dola ya Kiislam
(IS) wameiangusha ndege ya Urusi ni propaganda tu.
Rais al-Sisi ameviambia vyombo vya
habari kuwa ni mapema mno kuelezea kilichotokea kwa ndege hiyo.
Ndege hiyo ikiwa na abiria wengi
raia wa Urusi ilianguka penisula ya Sinai siku ya jumamosi na kuua
abiria wote 224.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni