.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 3 Novemba 2015

WAVUTA SIGARA WANYWA JUISI ZA VIWANDANI KENYA KUKAMULIWA KODI ZAIDI

Wavuta sigara, wamiliki magari na boda boda pamoja na wanaopenda kunywa juisi za viwandani nchini Kenya, watasherehekea krismasi vibaya kutokana na ongezeko la kodi linalotarajiwa kuwakabili.

Watumiaji wa bidhaa hizo watalipa kodi zaidi baada ya rais Uhuru Kenyatta kuridhia muswada wa kodi wa mwaka 2015, ikiwa ni jitihada za kuendelea kuwakamua wananchi kodi ili kukabiliana na uhaba wafedha unaoikabili serikali.

Serikali ya Kenya kwa mara ya kwanza mwaka huu imeongeza kodi kwa bidhaa ambazo kwa kawaida huchukuliwa kama si za anasa.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni