Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari
amemfukuza kazi mkuu wa taasisi ya kukabiliana na rushwa.
Hakuna sababu zozote zilizotolewa
kwa kufukuzwa kazi Bw. Ibrahim Lamorde ambaye ni Mwenyekiti wa Tume
ya Kupambana na Uhalifu wa Kiuchumi na Fedha (EFCC).
Agosti mwaka huu Bw. Lamorde
alikanusha tuhuma za kuwepo kwa upotevu wa kiasi cha dola bilioni 5,
katika tume hiyo.
Rais Muhammadu Buhari alishinda
urais mwezi Machi, aliahidi kupambana na rushwa nchini humo.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni