.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 5 Novemba 2015

RAIS WA RWANDA, PAUL KAGAME NI KATI YA MARAIS SABA WALIOWASILI LEO ASUBUHI KUSHUHUDIA KUAPISHWA KWA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI

Rais wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame (kulia) akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya kushiriki sherehe za uapisho wa Rais Mteule, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.

Rais wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame akisindikizwa na Waziri wa Mambo ya Nje kwenda kukagua gwaride.
                           Mhe. Paul Kagame akikangalia kikundi cha wapiga tarumbeta
                                                 Rais wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame akikagua gwaride.

                                                                                      Picha na Reginald Philip

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni