Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Samia Suluhu Hassan akila kiapo. Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Shein ( wa kwanza kulia ), Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tnzania, Mh Anne Makinda, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ( wa nne kutoka kulia ) na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh Mohamed Chande wakiwa jukwaa maalum kabla ya kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Dkt. John Pombe Magufuli akiongozana na Makamu wake, Mh Samia Suluhu Hassan wakiwa jukwaa maalum
Rais wa awamu ya nne aliyemaliza muda wake wa uongozi wa miaka kumi ya kuiongoza Tanzania kwa mafanikio, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika jukwaa maaalum kupokea salaam ya heshima ya kijeshi kabla ya kukabidhi madaraka Rais wa awamu ya tano, Dkt. John Pombe Magufuli.

Rais wa awamu ya nne aliyemaliza muda wake, Dkt. Jakaya Kikwete akikagua gwaride maalum kabla ya kukabidhi madaraka kwa Rais wa awamu ya tano, Dkt. John Pombe Magufuli.

Viongozi mbalimbali wakiwa jukwaa kuu wakifuatilia kwa karibu matukio yote wakati wa kuapishwa kwa Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli.

Rais wa awamu ya nne aliyemaliza muda wake, Dkt. Jakaya Kikwete akiteremka kutoka jukwaa maalum alipokuwa akipokea heshima za kijeshi.
Rais wa awamu ya nne aliyemaliza muda wake, Dkt. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu wake Dk. Gharib Bilal. Wote wawili wamestaafu.
Rais wa awamu ya nne aliyemaliza muda wake, Dkt. Jakaya Kikwete( wa pili kutoka kulia ) akiwa na Makamu wake mstaafu, Dk. Gharib Bilal ( wa kwanza kulia ) wakiwa jukwaa maalum na Rais wa awamu ya tano, Dkt. John Pombe Magufuli na Makamu wake Mh. Samia Suluh Hassan
Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh Mohamed Chande Othman.
Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo.
Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh Mohamed Chande Othman.
Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh Mohamed Chande Othman.
Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akila kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh Mohamed Chande Othman.
Rais wa awamu ya tano wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiweka saini mara baada ya kula kiapo mbele ya Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh Mohamed Chande Othman.

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Samia Suluhu Hassan akiwena saini mara bada ya kula kiapo.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni