Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefuta maadhimisho ya siku ya Uhuru ambayo ni tarehe 09 Disemba, na kuagiza fedha zilizopangwa kwa ajili ya kufanikisha shughuli hiyo zitengwe kwa ajili ya kufanya shughuli nyingine.
Maamuzi hayo yametangazwa leo na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue ambaye amesema kuwa siku hiyo Rais ametaka itumike kwa kufanya usafi nchi nzima.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni