.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 20 Desemba 2015

BONDIA BILLY JOE SAUNDERS AMEMDUNDA ANDY LEE NA KUTWAA MKANDA WA WBO

Bondia Billy Joe Saunders amemdunda Andy Lee kwa kupata ushindi wa pointi wa kutoka kwa majaji wote.

Saunders ambaye hajawahi kupigwa amemdunda Andy Lee katika mchezo wa ngumi uliofanyika Manchester Arena, na kutwaa mkanda wa dunia wa uzani wa kati.
                             Bondia Billy Joe akimtandika ngumi ya kulia ya usoni Andy Lee
            Bondia Andy Lee akijaribu kunyanyuka baada ya kupelekwa chini kwa  ngumi kali ya usoni.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni