Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu
Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (aliyevaa nguo nyeusi)
akiangalia eneo la mradi wa kuzalisha umeme Kidatu na kupata maelezo
kuhusu faida na changamoto za mradi kutoka kwa Injinia wa TANESCO
kituo cha Kidatu Bw. Rajabu Kindunda (wa tatu kulia). Wengine ni
wataalamu kutoka Tume ya Mipango na TANESCO.
Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu
Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (aliyekaa) akipata maelezo
kuhusu namna Kituo cha Kihansi kinavyofanyakazi kwa kutumia
teknolojia ya kisasa ambayo imeboresha utendaji kazi kwa wafanyakazi
na mitambo ambayo inatumika kuzalisha nishati ya umeme.
Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu
Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (aliyekaa) akipata maelezo
kuhusu namna Kituo cha Kihansi kinavyofanyakazi kwa kutumia
teknolojia ya kisasa ambayo imeboresha utendaji kazi kwa wafanyakazi
na mitambo ambayo inatumika kuzalisha nishati ya umeme.
Bibi. Florence Mwanri, Kaimu Katibu
Mtendaji, Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango (aliyevaa nguo nyeusi)
pamoja na maofisa kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakipata
maelezo kutoka kwa Injinia kituo cha Kidatu Bw. Yonah Mwasajone (wa
kwanza kushoto) kuhusu Sub Station ambayo baada ya umeme kuzalishwa
katika mitambo ya kufua umeme Kidatu hutumika kuuingiza katika Grid
ya Taifa.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni