.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 18 Desemba 2015

CANADA KUTOA SHILINGI BILIONI 2 ZA KENYA KUSAIDIA WAFANYABIASHA WADOGO NA WAKATI

Nchi ya Canada imetangaza kutoa fedha kiasi cha shilingi bilioni 2 za Kenya kusaidia wafanyabiashara wadogo na wakati kupata mikopo ya kupanua biashara zao.

Waziri wa Viwanda na Biashara wa Canada ametoa kauli hiyo kando ya Mkutano wa Shirikisho la Biashara Duniani (WTO), ambapo amesema fedha hizo zitasaidia kupunguza umasikini miongoni mwa wakenya waliokwenye mikoa iliyotengwa kifedha.

Waziri huyo, Bw. Chrystia Freeland, amesema Canada itachangia dola milioni 19.5 kwa mradi huo wa kuwasaidia wafanyabiashara wadogo na wakati Kenya kwa miaka saba, hadi mwaka 2021.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni